UBORA WA BENDI YA MUZIKI WA DANSI

Salamu wandugu. Karibuni katika blog hii yenye nia ya kukutanisha wapenzi na washabiki wa muziki wa dansi wa hapa nyumbani Tanzania na kwingineko katika Afrika. Naomba tuanze kwa kuweka "gauge" ama vigezo vya kupima ubora wa bendi. Naanza na...